Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na baadhi ya viongozi jijini Dar es salaam, akielekea katika Mkutano wa Serikali za Dunia (WGS) 2026, utakao ambatana na uzinduzi wa Uwekezaji wa Kimataifa Afrika (GAIS) huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE).


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii